TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Hoteli Cairo Marriott

The Typologically Different Question Answering Dataset

   Hoteli ya Cairo Marriott  ni hoteli kubwa iliyoko kando ya Mto Nile katikati mwa Cairo, Misri. Wakati mmoja jengo hili lilikuwa ikulu iliyojengwa kufuatia amri kutoka kwa mtawala wa Misri katika 1869, hoteli hiiilibadilishwa hadi hoteli ya kisasa Marriott International. Hoteli hii ina vyumba 1,089, na kuifanya moja ya hoteli kubwa katika Mashariki ya Kati.

Je,hoteli ya Cairo Marriott ilijengwa lini?

  • Ground Truth Answers: 869869

  • Prediction: